Umuhimu wa ultrasound kwa wajawazito Wataalamu wa afya wameshauri mjamzito kufanyiwa uchunguzi wa mtoto aliyetumboni angalau mara tatu kabla ya kujifungua.
Mondi, Zuchu imefika patamu.... ACHANA na shoo anazopiga nje ya nchi, huko jijini Paris Diamod Platnumz anaponda raha kinoma na mwanadada Zuhura Othman 'Zuchu'.
ACT yaeleza sababu Ticts kutopewa mkataba mpya Wakati Serikali ikiendelea na mazungumzo na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kuhusu kuipa mkataba mwingine, Chama cha ACT -Wazalendo kimeitaka Serikali...
ACT Wazalendo wataka TICTS isitishiwe mkataba ACT wameitaka Serikali kuiwezesha TPA kusimamia kitengo cha makasha cha bandari ya Dar es Salaam katika wakati wa mpito ambapo itakuwa kwenye mchakato wa kutafta mwekezaji mwingine.
Sikia ya mtoto aliyejifungua pacha waliotenganishwa Mtu kwao. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Amina Amos (17) mama wa pacha waliotenganishwa Julai mosi mwaka huu kurejea nyumbani baada ya kutoweka kwa takribani mwaka mmoja akiwa hajulikani alipo.